HABARI KUU:

GACHAGUA ALIYEMUITA RAILA MAJINA SASA AMMEZEA MATE 2027..//..LUSAKA AMKAUKIA SENETA ONYONKA KWA KUMUITA MPUMBAVU!..//..GEN Z WA BANGALADESH WAVAMIA IKULU YA WAZIRI MKUU..//..AJALI SACHANGWAN HUKU WANAFUNZI 25 NA WAALIMU 3 WAKIPATA MAJERAHA MABAYA..//..MGOMBEA urais wa Chama cha Democrat Kamala Harris amemteua Gavana wa Minnesota Tim Walz kuwa mgombea mwenza wake katika uchaguzi wa urais wa Novemba 5, mwaka huu.// AMERIKA imeonya serikali ya Kenya Kwanza dhidi ya kutumia nguvu kupita kiasi kukabili waandamanaji na kutaka hatua za haraka zichukuliwe dhidi ya ukiukaji wa haki za binadamu..//GAVANA wa Meru Kawira Mwangaza anataka Mahakama Kuu kuwahukumu maafisa wawili wa bunge la kaunti na MCA aliyeteuliwa kwa madai walidharau mahakama, akisema walipuuza maagizo ya korti kwa kukusudia kumtimua kwa mara ya tano.

Monday, 16 September 2024

WANAFUNZI WA ZAMANI WA MANORHOUSE WAOMBOLEZA KIFO CHA BABA WA MWENZAO

 


Wingu la majonzi ligubika jamii ya zamani ya shule ya upili ya manorhouse baada ya mmoja wao kumpoteza babake.Wycliff Chonge ambaye alikuwa kiongozi wa muungano wa dini katika shule hiyo alimpoteza babake Mzee Chonge akimtaja kama mtu aliyekuwa mzazi na rafiki aliyesimama naye katika kuishi kwake.

Wanafunzi wa zamani wa shule hiyo wameendelea kutuma risala za rambirambi kutoka kila pembe ya nchi.Umoja wao umetokana na vifo vilivyofuatana ikiwemo wa mkewe  phillip simiyu alifariki kutokana na ajali ya barabarani na kuzikwa kule cheranganyi na kifo cha babake peter kunania miezi michache iliyopita.

Kufikia sasa shughuli ya mipango ya mazishi inaendelea kwa kasi  huku kamati mbalimbali zikiundwa.Hizi ni baadhi rambirambi zilizotumwa....

PTER KUNANIA-May God give you strength bro,ni ngumu but take heart,pole sana,it is well my brother

PHILIP SIMIYU-Brother Wicky, Pole sana for the loss of your dearest friend, father,  and mentor may the good lord give the Chonges strength and peace at this trying moment. Rest in peace mzee.

N.K-So sorry for the loss of dad brother Wicky........may God strengthen you at this trying moments, be strong in the Lord.

JOSODOKE-Oh no! 😔 Pole Chairman.May God give you strength to bear this big loss.I have been there also and I know it's not easy😌.May God come through for you and your family

KIZITO-Pole chairman for the loss of your, May Almighty God give enough comfort at this low moments of your life

LINNET CHIRCHIR-My condolences to our brother Wycliffe chonge.May the good lord comfort your family at large in a special way

GILHAGE-Condolences to Chonge and family may the Almighty God strengthen you during this difficult period.

CHOZEN MWANGI-My condolences to chairman chonge and family

EUNICE NJERI-My condolences dear brother for this trying moment it's not easy but my almighty God comfort u n ur family


No comments:

Post a Comment